KWAYA YA KANISA LA KINONDONI SDA IKIHUDUMU KATIKA MAKAMBI YALIYOFANYIKA MWAKA 2013 KATIKA MTAA WA KINONDONI
Kwaya Ya Waadventista Wasabato Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania
Kwaya ya kanisa la Kinondoni SDA ikiwa inarekodi santuri muonekano toleo la 4.
Kwaya ya Kanisa la Kinondoni SDA ikihudumu katika makambi yaliyofanyika mwaka 2013.
Kwaya ya Kanisa la Kinondoni SDA ilipokuwa Nairobi nchini Kenya kwenye tamasha la uimbaji.
Kwaya ya Kanisa la Kinondoni SDA wakiwa Mkoani Kigoma kwenye makambi.
Kwaya YA Kinondoni SDA wakirekodi DVD Vol.3.