Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakipata chakula cha jioni baada ya kuingia Kigoma |
Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakipata chakula cha mchana baada ya kutoa huduma kwenye makambi |
Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakisikiliza mafundisho yaliyotolewa kambini hapo |
Viongozi mbalimbali wa kanisa walikuwepo kwenye makambi hayo |
Kwaya ya Kinondoni SDA wakipata picha ya pamoja na wachungaji waliokuwa wakihudumu kwenye makambi hayo |
Kinondoni SDA Choir - Kigoma |
Mwalimu wa kwaya ya Kinondoni SDA, Perucy Nyattega |
Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakiwa katika jumba la makumbusho la Dr. Livingstone, Kigoma |
Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakiwa wamepumzika ndani ya treni huku safari ikiendelea ya kurudi Dar |
0 comments:
Post a Comment