SIKU MAALUM YA KWAYA ILIYOFANYIKA MWAKA 2014 AMBAPO ILIKUTANISHA WAIMBAJI WA ZAMANI WA KWAYA YA KANISA YA KINONDONI SDA.
Baadhi ya waumini waliohudhuria siku hiyo |
Mzee Othman Haule akikaribisha wageni na wenyeji katika siku hiyo maalum |
NAZARETH SDA CHOIR |
KINONDONI YOUTH SDA CHOIR |
Mpiga Kinanda wa kwaya ya kanisa ya Kinondoni SDA (aliyevaa suti nyeusi) |
Nazareti SDA Choir wakitoa huduma ya nyimbo |
GETHSEMANE GROUP |
VIJANA-KINONDONI |
ACACIA |
Kwaya ya Vijana-Kinondoni SDA ikitoa huduma ya nyimbo |
Kikundi cha ACACIA kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum |
Baadhi ya waimbaji wa zamani wa kwaya ya Kinondoni SDA wakiimba pamoja na waimbaji wa sasa |
Kikundi cha Gethsemane kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum |
Mwalimu Gideon Kasozi akiimba pamoja na wanakwaya wimbo wa Atete wa lugha ya kipare |
Mwalimu Gideon Kasozi, moja ya waalimu wa kwanza kabisa wa kwaya ya Kinondoni SDA akitoa ushuhuda wake tangu alipoanza kuifundisha kwaya hiyo. |