| Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakipata chakula cha jioni baada ya kuingia Kigoma |
| Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakipata chakula cha mchana baada ya kutoa huduma kwenye makambi |
| Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakisikiliza mafundisho yaliyotolewa kambini hapo |
| Viongozi mbalimbali wa kanisa walikuwepo kwenye makambi hayo |
| Kwaya ya Kinondoni SDA wakipata picha ya pamoja na wachungaji waliokuwa wakihudumu kwenye makambi hayo |
| Kinondoni SDA Choir - Kigoma |
| Mwalimu wa kwaya ya Kinondoni SDA, Perucy Nyattega |
| Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakiwa katika jumba la makumbusho la Dr. Livingstone, Kigoma |
| Wanakwaya wa Kinondoni SDA wakiwa wamepumzika ndani ya treni huku safari ikiendelea ya kurudi Dar |






0 comments:
Post a Comment