Friday 19 June 2015

MOJAWAPO YA KWAYA DAY ILIYOFANYIKA 2014

SIKU MAALUM YA KWAYA ILIYOFANYIKA MWAKA 2014 AMBAPO ILIKUTANISHA WAIMBAJI WA ZAMANI WA KWAYA YA KANISA YA KINONDONI SDA.









Baadhi ya waumini waliohudhuria siku hiyo

Mzee Othman Haule akikaribisha wageni na wenyeji katika siku hiyo maalum





NAZARETH SDA CHOIR








KINONDONI YOUTH SDA CHOIR 




Mpiga Kinanda wa kwaya ya kanisa ya Kinondoni SDA (aliyevaa suti nyeusi)



Nazareti SDA Choir wakitoa huduma ya nyimbo


GETHSEMANE GROUP

VIJANA-KINONDONI




ACACIA

Kwaya ya Vijana-Kinondoni SDA ikitoa huduma ya nyimbo

Kikundi cha ACACIA kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum

Baadhi ya waimbaji wa zamani wa kwaya ya Kinondoni SDA wakiimba pamoja na waimbaji wa sasa

Kikundi cha Gethsemane kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum



Mwalimu Gideon Kasozi akiimba pamoja na wanakwaya wimbo wa Atete wa lugha ya kipare



Mwalimu Gideon Kasozi, moja ya waalimu wa kwanza kabisa wa kwaya ya Kinondoni SDA akitoa ushuhuda wake tangu alipoanza kuifundisha kwaya hiyo.





1 comment:

  1. I give praise to Mr Benjamin enough for his help in securing a loan to buy our new home for our family. Benjamin was a wealth of information and he helped educate me and my family as to why a home loan was the best option for our particular situation. After conferring with Benjamin and our financial advisor everyone agreed that a home loan was the perfect solution.You can contact Mr Benjamin if you also looking for any kind of loan on Email/Whatsapp: 247officedept@gmail.com Whatsapp: +1-989-394-3740

    ReplyDelete