SIKU MAALUM YA KWAYA ILIYOFANYIKA MWAKA 2014 AMBAPO ILIKUTANISHA WAIMBAJI WA ZAMANI WA KWAYA YA KANISA YA KINONDONI SDA.
| Baadhi ya waumini waliohudhuria siku hiyo |
| Mzee Othman Haule akikaribisha wageni na wenyeji katika siku hiyo maalum |
| NAZARETH SDA CHOIR |
| KINONDONI YOUTH SDA CHOIR |
| Mpiga Kinanda wa kwaya ya kanisa ya Kinondoni SDA (aliyevaa suti nyeusi) |
| Nazareti SDA Choir wakitoa huduma ya nyimbo |
| GETHSEMANE GROUP |
| VIJANA-KINONDONI |
| ACACIA |
| Kwaya ya Vijana-Kinondoni SDA ikitoa huduma ya nyimbo |
| Kikundi cha ACACIA kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum |
| Baadhi ya waimbaji wa zamani wa kwaya ya Kinondoni SDA wakiimba pamoja na waimbaji wa sasa |
| Kikundi cha Gethsemane kikitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum |
| Mwalimu Gideon Kasozi akiimba pamoja na wanakwaya wimbo wa Atete wa lugha ya kipare |
| Mwalimu Gideon Kasozi, moja ya waalimu wa kwanza kabisa wa kwaya ya Kinondoni SDA akitoa ushuhuda wake tangu alipoanza kuifundisha kwaya hiyo. |








